HIVI PUNDE: Wachimbaji 14 akiwemo Mchina Mmoja wafukiwa na kifusi Nyarugusu



GEITA: Takribani wachimbaji 14 akiwemo raia mmoja wa China wamefukiwa na kifusi cha udongo katika mgodi wa dhahabu wa RZ Nyarugusu.

- Aidha vikosi vvya uokoaji vinaendelea na jitihada za kuwaokoa wahanga hao.

[​IMG]
Mpya zaidi Nzee zaidi