Idadi ya maafa katika shambulizi Gao nchini Mali yazidi kuongezeka
Idadi ya watu waliofariki katika shambulizi lililotekelezwa Jumatano dhidi ya kambi ya wanajeshi Gao imeripotiwa kuziki kuongezeka.
Watu 60 wamefariki kufikia sasa na wengine 115 kujeruhiwa.
Shambulizi hilo lilitokea mapema asubuhi kaskazini mwa Mali.
Rais wa Mali Ibrahim Bubakar Keita alihotubia raia na kuwafahamisha maafa hayo.

JIUNGE NASI
INSTA@MUUNGWANABLOG ,FB@MUUNGWANABLOG,YOUTUBE @MUUNGWANA TUBE, BOFYA HAPA KU-INSTALL APP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.