DANSA mashughuli na kutoka lebo kubwa bongo Wasafi Classic Baby, (WCB) na mzazi mwenza wa Anti Ezekiel Mose Iyobo amefunguka kupitia mtandao wa Hamis Mandi Mtangazaji wa XXL ya Clouds Fm wa ‘Tweeter’ baada ya kuweka picha akiwa na mtafiti wa wa Nyani Duniani ndipo Mose Iyobo na akamtaka mtafiti huyo apewe taarifa za uwepo wa Nyani mwingine aitwaye Hamorapa.
“Duh noma sana ila mwambie kuna Nyani anaitwa Harmorapa angekuja kumfanyia utafiti na kujua tabia zake angetisha sana” aliandika Mose Iyobo.
Haijafahamika sababu ya Iyobo kumuita hivyo Harmorapa jina la mnyama ,kitendo kinachotafsiriwa kama ni dharau au uwenda ipo tofauti kati yao.