
Ndege ya Jeshi iliyotakiwa kushambulia kambi ya waasi wa Boko Haram yalipua kambi ya wakimbizi na kuua watu zaidi ya 120.
- Kati ya waliouawa katika tukio hilo la kusikitisha ni wafanyakazi 20 wa shirika la Msalaba Mwekundu waliokuwa wakifanya kazi katika kambi hiyo.
Rais wa Nchi hiyo Muhammadu Buhari kupitia mtandao wake wa Twitter ameeleza kusikitishwa na tukio hilo.
JIUNGE NASI
INSTA@MUUNGWANABLOG ,FB@MUUNGWANABLOG,YOUTUBE @MUUNGWANA TUBE, BOFYA HAPA KU-INSTALL APP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.