Shuhuda wanasema walianza kuona moshi mkubwa ukifuka katika jukwaa la kusini la uwanja huo maarufu liitwalo Sir Bobby Sharlton Stand.Klabu ya Manchester united ilisema katika twitter yake kuwa moto mdogo uliosababishwa na hitilafu ya umeme ulizuka kwenye moja ya lifti na wazima moto waliitwa na kufanikiwa kuuzima. Hakuna madhara makubwa yaliyotokea.
Jukwaa ulikozukia moto huo


