Baada ya kikosi cha Yanga kuwasili jana visiwani Zanzibar, leo Janury 1 kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Kianga kujiandaa na mashindano ya Mapinduzi Cup yaliyoanza rasmi December 30.
Yanga itacheza mchezo wake wa kwanza wa Mapinduzi Cup kesho dhidi ya Jamhuri saa 2:15 usiku.
Yanga itacheza mchezo wake wa kwanza wa Mapinduzi Cup kesho dhidi ya Jamhuri saa 2:15 usiku.