Trump akiwa bado anendelea kuhutubia Wamarekani, tayari ukurasa rasmi wa rais wa Marekani kwenye Twitter umebadilishwa na kuwa wake. Ujumbe ulioandikwa na utawala wa Obama umefichwa na kuhifadhiwa.
JIUNGE NASI
INSTA@MUUNGWANABLOG ,FB@MUUNGWANABLOG,YOUTUBE @MUUNGWANA TUBE, BOFYA HAPA KU-INSTALL APP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.
