Tazama Video ya Waziri Nape Nnauye Akiwapaka Mashabiki wa Ali Kiba kwa Kumuonea Wivu Diamond

Waziri wa sanaa na michezo Nape Nnauye amesema anahisi mashabiki wa upande wa Ali Kiba ndio walikuwa wakiponda kuhusu Diamond kupewa bendera kwa sababu kumekuwa na uhasama na chuki kati ya pande hizo mbili, yeye binafsi amedai hana tatizo na msanii yoyote kati ya hao wawili na wamekuwa marafiki zake kabla hata hajawa waziri


Mpya zaidi Nzee zaidi