Uganda imeanza vibaya michuano ya Afcon

Uganda imeanza vibaya michuano ya Afcon baada ya kuchapwa kwa bao 1-0 na Ghana.

Nahodha wa Ghana, Andre Ayew ndiye alikuwa shujaa baada ya kufunga penalti hiyo katika kipindi cha pili.

Mechi hiyo ya Kundi D ilikuwa ngumu na Uganda walionyesha juhudi kubwa lakini mwisho hawakufanikiwa. 

Mpya zaidi Nzee zaidi