Ujumbe wa Zari kwa watakaohudhuria kwenye arobaini ya mtoto wake 28th Feb

 Diamond Platnum na mpenzi wake Zari, wanategemea kufanya sherehe ya kuadhimisha arobaini ya mtoto wao Prince Nillan Feb28 2017 Dar es laam ikiwa ni baada ya kubadilisha na kuamua kufanyia Tanzania na sio South Africa kama ambayo ilisemekana mwanzo. Zari alithibitisha hivyo kupitia  ukurasa wake wa Snapchat. Pia akawasihi watakaohudhuria kwenye shughuli hiyo wasivae madera wala sare.


JIUNGE NASI 
 INSTA@MUUNGWANABLOG ,FB@MUUNGWANABLOG,YOUTUBE @MUUNGWANA TUBE, BOFYA HAPA KU-INSTALL APP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.
Mpya zaidi Nzee zaidi