VIDEO: Hii ndiyo nyumba anayoishi Obama kuanzia leo Jan 20, 2017.


 Maisha ya  Rais Barack Obama baada ya kuondoka Ikulu (White House) au madarakani yatakuwa katika jengo hilo, July 2 2016, kituo kimoja cha televisheni cha CCN wameonesha video ya nyumba atakayoishi Rais Obama baada ya kukabidhi madaraka Kwa Doanld Trump leo January/20/2017 na kuondoka White House.

Kupitia kituo kikubwa cha TV Marekani na Dunia nzima Rais Obama baada ya kustaafu ataendelea kuishi Washington na atakuwa akiishi katika nyumba yenye vyumba 9, nyumba ambayo inatajwa kuwa na thamani ya dola milioni 6.3 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 13.

                                                          ANGALIA VIDEO HAPO CHINI...
 JIUNGE NASI 
 INSTA@MUUNGWANABLOG ,FB@MUUNGWANABLOG,YOUTUBE @MUUNGWANA TUBE, BOFYA HAPA KU-INSTALL APP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.