VIDEO: Jionee ulipofikia ujenzi wa jengo jipya la kisasa la abiria Airport Dar ( Terminal 3)

Mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ( TERMINAL 3) unaendelea ambapo Serikali imesema jengo hilo litakamilika ifikapo December 2017 na ni jengo litakalokua na uwezo wa kuhudumia Abiria milion 6 kwa mwaka.

Kwenye hii video hapa chini utajionea sehemu ya uwanja huo pamoja na vitu vyote muhimu unavyotakiwa kufahamu kwa sasa


Mpya zaidi Nzee zaidi