VIDEO: Utani wa Manara kuhusu msamaha kwa Jerry Muro aliyepungua kilo 4



Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya Simba Haji Manara leo January 27 2017 kuelekea mechi ya Simba SC vs Azam FC ametumia time yake kumuombea msamaha msemaji wa Yanga Jerry Muro huku akitania kuwa amepungua kilo nne toka afungiwe.

Mpya zaidi Nzee zaidi