Ni muhimu tukajua tunachofanya na tukafanya tunachojua katika safari ya maisha. Mwanzo wa maisha ni pale unapozaliwa na mwisho wa maisha ni pale unapofariki haya unayokutana nayo katikati ndio maisha. Maisha hayana njia ya mkato unaweza ukajifariji lakini tambua unajidanganya mwenyewe .tunalenga au tunakusudia kuzungumzia swala la afya katika safari ya maisha ni muhimu ukajua kinachokusumbua ndani yamwili wako kwa faida yako menyewe itakusaidia kuondoa dhana ndani ya nafsi yako kudhania watu wengine wanachangia kuharibu maisha yako. Kumbe ni wewe mwenyewe kutokuwa makini katika safari ya maisha yako.
Kwa mfano unasumbuliwa na tatizo la kiafya unakwenda kwa mtu ambae unaamini yeye amesoma Ili akutatulie tatizo lako la kiafya kwanza anaweza akakupima akajua ukubwa wa tatizo lako la kiafya kwanza anaweza akakupima akajua ukubwa wa tatizo lako na akachukua hatua Kwa kukupa dawa zinazoendana na tatizo lako.
Ukatumia dawa kwa kipindi ulichoambiwa na aliyekupa dawa utakaporudi kwake itakuwa ni busara kwako kujua dawa imefanya kazi katika kiwango gani katika mwili wako kwa vipimo husika na si kwa maelezo ya mdomo cha kushangaza na kusikitisha mtu anatumia dawa kwa miaka kumi ajui dawa ile imemsaidia nini au dawa ile imeleta madhara gani kitakachotokea ni mgonjwa kukata tamaa kwa kuacha kutumia dawa hizo kwa sababu hajui dawa hizo zimemsaidia kwa kiwango gani mtu wa namna hii akijitambua atataufuta utaratibu mwingine ili asiendelee kutumia dawa siku hadi siku ni vizuri tukawa tunachunguza vizuri ili tuwe na jawabu sahihi ujio wa 4A9 umeleta mapinduzi makubwa katika matatizo mbalimbali katika mwili wa mwanadamu nafahamu watu wanajua lakini siyo vibaya tukakumbushana .mwili wa mwanadamu umeumbwa chochote kinachoingia katika mwili iwe mafua,malaria, vidonda vya tumbo,mapafu kujaa maji,tb ya mifupa,kansa mwili hutengeneza askari wa kupambana na kile kinachoingia katika mwili.mwili unapata taarifa na kutoa kinga ya kwenda kupambana na kile kilichotekea katika mwili .askari wale wakiwa madhubuti tatizo lile hupona haraka.
4A9 imekuwa ikisaidia mfumo wa kinga kuongezeka zaidi na kutatua matatizo mengi yanayomkabili mwanadamu ndio maana wale watu waaotembelea mitandao ya kijamii wameshuhudia watu mbalimbali wamenufaika kwa kutumia 4A9.tokea tuanze kuonesha ushuhuda wa watu mbalimbali takribani miezi sita sasa tunajua kasumba ya watanzania kutokuamini vyetu lakini tujiulizeni ni mwanasayansi yupi aliyevumbua dawa na kuwapa watu kisha akakusanya ushuhuda kwa miaka mitatu na kuweka ushuhuda huo hadharani ili watanzania na wasiokuwa watanzania waone ukweli wake.nafikiri jibu mtakuwa nalo wenyewe kama ulibahatika kuwa katika utawala wa mwalimu hadi sasa rais wa tano tokea tupate uhuru wa tanganyika kuna watu hawakujali porojo wala kukatishwa tamaa na wenzao kama mama aliyekuwa anasumbuliwa na maji kwenye moyo na moyo kuwa mkubwa na alikuwa katika chumba cha wagonjwa mahututi lakini ndugu zake hawakuridhia mama huyo apasuliwe mgongo Ili anyonywe maji hayo.
Ndugu zake wakamtafuta tr msigwa na kumueleza kwa kina hali hiyo na msigwa akawaeleza namna gani watumie 4A9 na kwel wakafanya hivyo kwa ujasiri mkubwa mama huyo akatoka katika chumba mahututi na mungu akamsaidia hadi Leo yuko mzima na akaweza kulima shamba la mpunga heka moja na akamzawadia tr msigwa heka moja hiyo na ushahidi huu umejaa katika YouTube na mitandao ya kijamii mengine. Tumefanya hivyo ili kudhihirishi uma na dunia kwa baadhi ya waafrika ambao hawajaamini kama wanaweza .kuna baadhi ya waafrica wanaamini lugha yap siyo bora na lugha ya wenzao ndio bora na ya kitaalamu na wanathubutu kusema hayo bila aibu.
Na baadhi ya waafrika wenye mtazamo huo ndio wamelifikisha bara la Africa hapa tulipo. Nitawepeni mfano mfupi tu tokea tatizo la vvu kuingia katika bara la Africa sichini ya miaka 30 lakini nchi nyingi za bara la Africa limeshindwa kueneza vipimo vya kisasa katika hosptali za bara la Africa .tr msigwa anawakumbusha waafrika muda wa uzezeta umekwisha ni lazima kufanya kazi kwa bidii ili kuleta heshima katika bara la Africa hatuja chelewa mradi tumejitambua kama tupo nyuma ni rahisi kujipanga vizuri ili kwenda kwa kasi zaidi. Matumaini yangu 4A9 hatuwezi kusema wote waliotumia 4A9 wamefanikiwa lakini wengi wao wamefanikiwa kwa kiwango cha juu.
Niwashukuru sana ndugu watanzania wanaoishi ujerumani na uingereza kwa kusambaza habari za 4A9 katika mataifa wanaoishi. Nitoe wito kwa madaktari wenye akili timamu tr msigwa yupo tayar kukutana nao lakini wawe na hoja za msingi.Tr msigwa anapokea maswali aina yoyote kwa kila siku kasoro siku ya ijumaa tu kwa mawasikiano zaidi 0713646691 0752819047
Email. Msigwatwayibu@gmail. Com

ANGALIA VIDEO HII..