Ni kipindi kirefu sasa tokea tuanze kuandika makala hizi katika mitandao ya kijamii,lengo letu ni kuwadhihirishia watanzania na wasiokua watanzania kile tulichokifanya katika vijiji mbalimbali katika Tanzania Tumeonesha namna gani tumewasaidia watanzania wenzetu katika matatizo mbalimbali yanayowasumbua katika masuala ya afya.
Maana yake tumezuia kwa kiasi kidogo pesa za watanzania kwenda nje ya tanzania na kuonesha watanzania kuwa tunaweza kujitegemea katika suala la afya kama tutabadilisha mtazamo.Tuna kila sababu ya kuingiza hela za kigeni kupitia dawa zinazotengenezwa na miti yetu ndani ya taifa letu.Watu wakiingia kwenye you tube na wakaona watu mbalimbali walivyonufaika kupitia 4a9,tumeweka watu waliokua wakisimbuliwa na moyo ,tumeweka watu wenye matatizo ya kichwa kuuma na kukosa usingizi.tumeweka.
Watu waliokua wakisumbuliwa na gesi na kushindwa kupumua vizuri kutokana na gesi na kutoa bwebwe au kubehua kila wakati na kuchoka kila mara.
Watu wa namna hiyo wamenufaika kupitia 4a9.Na hili halina ubishi kama utatembelea mitandao ya kijamii kama YouTube kama tulivosema zamani.
Kuna watu waliokua wanasumbuliwa na tatizo la michubuko kwenye utumbo na kuhisi vitu vinatembea kwenye utumbo na hawa wamenufaika kipitia 4a9,
Tunaposema watu wamenufaika tunachukua takwimu kwa mfano tumechikia watu 50 watu 46 wamefanikiwa na watu 4 hawakufanikiwa.tutaendelea kusema tutafanikuwa na tutaendelea kufanikiwa zaidi kutokaana na watu walivyofanikiwa.kwa mfano mtu anakuja na magonjwa 4 baada ya wiki 2 anakuambia amefanikiwa kwa kiasi kikubwa ni lazima tukili kazi ni tunayofanya ni kubwa zaidi.
Changamoti tunayokutana nayo katika kazi yetu ni moja tu.Tokea tuwaombe watu wa halmashauri waje wakajue kuhusu kufungua maabara,wangekua wametujibu haraka changamoto hii tungekua tushaipatia jawabu sahihi.Tunajua katika taïfa l'étude ukifanya kitu Cha maana ni lazima ukutane na misukosuko mingi.Lakini tunaamini haya ni mawimbi tu lakini tunaamino wakati wowote hali itakua nzuri na ushindi ni lazima kutokana na l'île tunachokifanya na umakini tuliokua nao.
Nakiri wale wanaofuatilia makala zinazoandikwa na T.r msigwa watakua wamejifunza menti nawatakua wameona l'engin na wanaendelea kujifunza mengi .Ni vigumu mtu kuitikisa msuli ukatikisika, ni rahisi kusema unachotaka kusema lakini ni vigumu kuthibitisha ulichosema.
Tunachojivunia saisi watu wa 4a9 na tunamshukutu mungu kwa dhati hatujatikisika.ni wengi wanaotumiwa namakampuni makubwa ni wengi wanaotumiwa na watu wa wakawaida, hâta wauza duka nao wanafikiri ni rahisi kututikisa siri ya mafanikio yétu ni ukweli tulionao ndio maana hadi leo hatujatikisika.wakati ufike kwa watanzania na wasiokua watanzania kwa kila moja kwa upande wake aheshimu kazi inayofanywa nâ raia wa taifa lake. Tunafahamu fika baadhi ya watanazania wenzetu ndani ya taifa letu hawako tayari kuona mtanzania mwenzao anapiga hatua katika harakati zakulisaidia taïfa lake.
Nitoe wito kwa watanzania wenzangu na wasiokua watanzania kuna kila sababu ya kufanya kazi kwa bidii ili tujiletee mafanikio lakini vilevile tulisaidie taïfa létu, lazima tupige vita madawa ya kulevya,umalaya lazima tupige vita vite do viovu vinalitafuna taïfa. Tukifanya hivyo tutakua tumejisaidia na tumelisaidia taïfa letu.T.r msigwa atatangaza safari Yake ya pemba muda si mregu na ziara zake sehemu mbalimbali atakazopita ndani ya nchi na nje ya nchi.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na T.r Msigwa kwa ushauri kupitia Namba:
0713-646691
0752-819047
0787-677215
0773-149272

ANGALIA VIDEO HI..