ACT Wazalendo kuunguruma asubuhi ya leo Feb 19


TAARIFA KWA WANAHABARI
KESHO Juampili February 19/2017 viongozi Wa chama cha ACT Wazalendo wataongea na waandishi Wa habari kuhusu masuala mbali mbali ya nchi.

Muda:Saa tano kamili asubuhi(5:00)

Mahali:Makao makuu ya ACT Wazalendo yaliyopo Sayansi Kijitonyama Jirani na Kanisa la KKKT
muhimu kuzingatia muda.

Abdallah Khamis
Afisa Habari


Mpya zaidi Nzee zaidi