Fid Q: Wakiitwa mahandsome au wabaya siwezi kwenda


“Mimi wakiitwa wanaume wabaya siwezi kwenda lakini pia wakiitwa mahandsome boy siwezi kwenda, lakini najijua mimi nina good look” - ni Mneno ya Fid Q Baada ya malkia wa filamu nchini Irene Uwoya kutoa kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wagumu na kumtolea mfano Fid Q, 

Mpya zaidi Nzee zaidi