Hatimae Diamond Platnumz aonyesha sura ya mtoto wake wa pili

 Mashabiki wengi wa Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz walikua wanasubiria hii siku Diamond apost picha ya mtoto wake wa pili aitwae Nillan ambaye toka amezaliwa hakuna shabiki aliepata nafasi ya kuona sura yake.

Wengi walikua wanasubiria kumuona wajue kama kafanana na Baba au mama? sasa picha zenyewe ndio hizo.

Mpya zaidi Nzee zaidi