Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa
Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa leo, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa amesema baraza linapinga na kulaani hatua yoyote ya kushiriki katika biashara na utumiaji wa dawa za kulevya
"Tunampongeza kwa dhati kabisa mkuu wa mkoa kwa ujasiri aliouonyesha kwa kuwa ameamua kujitoa mhanga kwa ajili ya Taifa,”amesema.
VIDEO: Sasa hii ni hatari!! Cheki watu walipofikia na Teknlojia yao
