Thea Aibua maswali baada ya kuonekana Ofisini kwa Kamishna wa Madawa ya Kulevya Leo

Msanii mkongwe wa filamu Thea ameibua maswali kwa wadau wa mambo baada ya kuonekana mchana huu akiwa ofisi ya Kamishna wa operesheni wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya iliyopo Upanga jijini Dar es salaam.

Hivi karibuni wasanii mbalimbali wa filamu na muziki wamekuwa wakitajwa kuhusika katika sakata la biashara haramu ya madawa ya kulevya.
Mpya zaidi Nzee zaidi