Video: Gwajima amjibu Makonda mbele ya waumini wake ‘Mungu atamshusha”

Askofu Josephat Gwajima Alhamis hii amezijibu tuhuma za kujihusisha kwenye biashara ya madawa ya kulevya baada ya kutajwa kwenye orodha ya pili ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Alikuwa akizungumza mbele ya waumini na waandishi wa habari, kanisani kwake. Chini ni video nzima ya kile alichokisema.


Mpya zaidi Nzee zaidi