VIDEO: Polisi yamuonyesha Kijana aliyesambaza Orodha feki ya wauza dawa za kulevya

Polisi kanda maalum Dar es salaam imemkamata kijana ambaye alisambaza taarifa za uongo kuhusu Watu wanaotuhumiwa kuhusika na uuzwaji, usambazaji na utumiaji wa dawa za kulevya Tanzania. 


Mpya zaidi Nzee zaidi