Video ya yule Mbunge aliyesema yuko tayari kuwataja wabunge wanaouza dawa za kulevya

Image result for Goodluck MlingaMjadala wa Watuhumiwa wa biashara na watumiaji wa dawa za kulevya umeendelea kuchukua nafasi baada ya kuibuliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Mjadala umefika mpaka Bungeni Dodoma na baadhi ya Wabunge waliosikika wakichangia ni pamoja na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyesema yupo tayari hata kuwataja baadhi ya wabunge wanaohusika na bishara hiyo.

Tazama hii video hapa chini akichangia ishu mbalimbali ikiwemo na hiyo.




VIDEO: Cheki hii: Wakikutana Simba na Fisi huwa hapatoshi 

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items