Mchezaji ambaye amesajiliwa hivi karibuni na klabu ya Valencia, Simone Zaza amesema anaamini kutua kwake katika kikosi hicho ni sehemu ya kurejesha heshima yake.
“Sihitaji kitu zaidi ya upepo, ufukwe na bahari ya Valencia. Ni eneo zuri la kuishi, ninaamini nitafanya kazi yangu vizuri,” alisema.
Zaza ambaye alishindwa kufanya vizuri alipokuwa akikipiga katika klabu ya West Ham United ya Uingereza ambayo alijiunga nayo akitokea Juventus.
VIDEO: Dakika 6 za Rais Magufuli akiongelea ishu ya dawa za kulevya
