Sifa 6 za Lazima Wanazotakiwa Kuwanazo Walinzi wa Papa Vatican


Sehemu ya walinzi wanao linda makao makuu ya papa (baba mtakatifu) huko Vatican.

Vigezo vya kuwa mlinzi wa Vatican ni kama ifatavyo:

1.Lazima uwe mkatoliki

2.Lazima uwe haujaoa (msela).

3.Lazima uwe lraia wa Uswiswi (Swiss citizen)

4.Uwe na umri wa kati ya miaka 19-30.

5.Uwe na urefu wa anagalau sentimenta 175 .(175 cm) 

6.Wanatumia ndogo ndogo za kisasa na za kienyeji .
Mpya zaidi Nzee zaidi