Video: Stan Bakora amuigiza RC Makonda

Mchekeshaji Stan Bakora akimuigiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja orodha ya wasanii 10 wa muziki ya uigizaji ambao wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu bila kuoa ambao yeye amewaita wahalifu.

Stan Bakora amewataka wasanii hao akutane nao ‘sentro’ kwa kile alichosema kuwa wanakosea kufanya hivyo.
Mpya zaidi Nzee zaidi