F Upinzani Kenya yamtaja atakayeshindana na Rais Kenyatta kwenye Uchaguzi Mkuu | Muungwana BLOG

Upinzani Kenya yamtaja atakayeshindana na Rais Kenyatta kwenye Uchaguzi Mkuu

Muungano wa Vyama vya Upinzani nchi Kenya NASA umemtangaza mwanasiasa mkongwe nchini humo Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa nchini kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika August 8 mwaka huu.

Aidha, NASA imemtangaza Kalonzo Musokya kuwa mgombea-mwenza