VIDEO: Mtatiro atinga Polisi Central, Sirro atoa kauli sakata la Uvamizi mkutano wa CUF

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF Julias Mtatitiro anayemuunga mkono Maalim Seif,  leo asubuhi amefika Makao Makuu ya Jeshi  la Polisi Kanda maalumu  ya Dar es Salaam kufungua kesi  kufuatia uvamizi kwenye  mkutano wa Mwenyekiti wa Chama  hicho wilaya Kinondoni Juma Mkumbi na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Vina Hotel Mabibo jijini Dar es Salaam.

Kwa upande Jeshi la Polisi Kameshna Kanda Maalum Simon Sirro ametoa kauli juu ya uvamizi huo.

Angalia Video hii kwa habari zaidi, usisahau Ku-subscribe Muungwan TV



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items