Tottenham Hotspurs
Kaskazini.Magoli ya Tottenham katika mchezo huo yamefungwa na wachezaji Dele Alli pamoja na Harry Kane, kwa ushindi huo Hotspurs wamepaa hadi nafasi ya Pili wakiwa na alama 4 nyuma ya Vinara Chelsea, na kwa kichapo hicho Arsenal sasa wanashika nafasi ya 6 wakiwa nyuma ya Mananchester United ambao wao wamecheza dhidi ya Swansea city ambapo Manchester United walitoshana nguvu kufuatia sare ya kufungana bao 1-1.
Nao Midllesbra walitoshana nguvu na Manchester City kwa kufungana mabao 2-2.
