Lipumba: Maalimu Seif ni ‘Sultani’ wa CUF



Mwenyekiti anyatambulika na Msajili wa vyama vya siasa nchi Professa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho ni Sultani ndani chama hicho.


Sultani ni aina ya uongozi inayofanana na Ufalme asili yake Oman na kwamba utawala wa kisultani hauzingatii demokrasia.

 Professa Lipumba amesema hayo elo asubuhi alipokuwa kwenye mahojiano na Clouds Tv (kipindi cha Clouds 360) amesema kuwa alitengua barua yake ya kujiuzulu kabla barua ya kujiuzulu aliyoindika kujadiliwa.


 Professa Lipumba alidai  kuwa barua hiyo ilipokelwa na Maalimu Seif na kujibiwa kuwa asubiri kamati kuu ya chma kujadili barua hiyo ili kuepusha vurugu ndani ya chama

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia