https://monetag.com/?ref_id=TTIb Lowassa Uso kwa uso na Lipumba | Muungwana BLOG

Lowassa Uso kwa uso na Lipumba


Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akutana na Mwenyekiti anayetambulika na Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini wa Chama cha Wananchi (CUF) wamekutana kwenye msiba wa aliyekuwa meya wa Jiji la dar es Salaam Kitwana Kondo,

 Profesaa lipumba alimfuata Lowassa mahala alikuwa ameketi na kusalimiana.
Msiba huo umefanyika leo Nyumbani kwa Marehemu huyo upanga jijini Dar es Salaam.