Mbunge Mtulia amdhamini Bondia Super Kyela



Mbunge wa Jimbo la Kinondoni amdhamini Bondia Amosi Mwamakula  anayetarajia kupeperusha  Bendera ya Tanzania kwenye pambano lake na Bondia kutoka Nchini Malawi.

Super Kyela atapambana na Odesen Kayuni kutoka Malawi.


Mbunge Mtulia amesema kuwa atadhamini pambano hilo la Kimataifa litakalo fanyika tarehe 8 Agosti Mwaka  Kwenye Ukumbi wa Traval Train ilikuwepo Magomeni Mikumi Dar es Salaam.




Pambano hilo litasindikizwa na Bondia Nguli Francis Miyeyusho,Ibrahimu Tampa, Ibrahimu Class  Haidari Mchanjo, Iddi Mkwera, Vicent Mbilinyi na Mabonde wengine kutoka Nje na ndani ya Nchi.

kwa upande wake Super Kelya amempongeza Mbunge huyo kwa mchango huo kwenye pambano lake na kwamba ni sehemu ya kukuza vipaji vya mchezo huo kama alivyo ahidi kwenye kampeni zake za 2015.
  


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia