March 22, Mwaka huu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society TLS, Mhe.Tundu Lissu alisema, wanachama wamepitisha azimio la kumvua uanachama Waziri Mwakyembe na kuwa wanasubiria maamuzi ya viongozi. kwakuwa alitishia kukifuta chama hicho. hata hivyo kupitia ukurusa wake wa Twitter, Lissu aliandika ujumbe kuwa TLS imeshaanza mchakato wa kumuengua Mwakyembe.
Muungwana Blog & Tv imefanya mahojiano na Rais Lissu kujua mpaka sasa mchakato huo umefikia wapi? Alichojibu ni kwamba tayari wamesha mshughulikia na kwamba waligundua huenda alikuwa anajipendekeza kwa Rais Magufuli... Tazama video hapo chini kujua Jinsi alivyojipendekeza na walivyomshughulikia...
