Video:Mtuhumiwa wa Makonda Mbaroni, Dar.

Watu wanne akiwamo Ally Nyundo pamoja na wafanyakazi wa Monchwari wamekamtwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kupasua mwili wa Raia wa Ghana uliohifadhiwa kwenye Hospitali ya MwanaNyamara na kutoa Kete za Dawa Kulevya.

Nyundo aliyetajwa kwenye Orodha ya RC Makonda kuwa ni mshukiwa wa Dawa za Kulevya.
Tazama Video hii kisha Share na Subscribe Muungwana Tv.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia