Nyumbani Huu ndio uzi wa Arsena msimu mpya wa 2017/2018 byMuungwana Blog 1 -6/21/2017 07:00:00 PM 0 Arsenal watambulisha rasmi jezi watakazo tumia kwenye msimu ujao 2017/2018. Wachezaji waliotambulisha jezi hizo ni pamoja na Alexis Sanchez, Olivier Giroud na Mesuti Ozil. Jezi hizo ni kwaajili ya michezo ya nyumbani. Facebook Twitter