BREAKING: Halima Mdee amefikishwa Mahakamani


Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee amefikshwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Leo Jijini Dar es salaam.

 Halima Mdee (Chadema), alikamatwa Julai 4 Jioni, na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa na agizo la Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi. Kwa kile kilichodaiwa alitoa lugha ya kumtukana Rais Magufuli
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia