Mwanaume akatwa kidole baada ya kung'atwa harusini

Mwanamume mmoja amekamatwa kwa madai kuwa aling'atwa na kukata kidole cha mtu mwingine wakati was sherehe ya harusi mjini Sydney Australia.

Mvamizi huyo mwenye umri wa miaka 42 aliingia katika sherehe moja ya harusi siku ya Jumamosi usiku na kujaribu kuiba mkoba.

Wakati wageni walipomkabili, mvutano ukatokea ambapo mwanamume huyo alingata kidole cha mtu mwingine.

Kidole kilichong'atwa hakiwezi kuokolea, kwa mujibu wa vyomo vya habari.

Mwanamume aliyeumia alipelekwa hospitalini ambapo alitibiwa na kuruhusiwa kuenda nyumbani.

Hizo hazikuwa ghasia za mwisho usiku huo kwa kuwa polisi walilazimika kuvunja mapigano yaliyotokea nje ya klabu
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia