Tuzo ya Hesshima alipokea Kikwete jana usiku

"Tuzo hii niliyoipata ni ya watanzaia wote. kwani wakati wa uongozi wangu nilifanyakazi na wakati wote wakiwemo wasanii. Nawashukuru ZIFF kwa kunipa heshima kubwa ya mtu aliyetukuka 'Life achievement award" alieleza Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa tamasha la 20 la Filamu la Kimataifa la Nchi za Majahazi (ZIFF), usiku wa Jumamosi Julai 8,2017.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia