Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema Halima Mdee kukutana na waandishi wa habari na kutamka kuwa mwenendo anao kwenda nao Rais Magufuli analipeleka taifa pabaya na kwamba Watanzania wanapswa kumfunga breki kwa kuonesha kutofurahishwa na matendo yake, Leo Julai 4 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es salaam Alli Hapi ameagiza Mbunge huyo wa kawe akamatwe na kuwekwa rumande kwa saa 48, Ahojiwe na afikishwe mhakamani.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
