VIDEO: Kafulila aitwa Marekani kwa Ajili ya vita ya Ufisadi

ALIYEKUWA  Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila ameitwa nchini Marekani kwa Program Maalum ya Kubadilishana Uzoefu kati yake na nchi hiyo juu ya vita dhidi ya Ufisadi.

Hata Hivyo Kafulia amesema kuwa vita vya Ufisadi  ni vya watanzania wote hivyo kila Mtanzania anatatakiwa kupigana vita hivyo bila ya kujali itikadi za siasa.

Tazama Full Video Hapa 

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia