Watu wafariki katika ajali ya ndege ndogo Magharibi mwa Jmahuri ya kideomkrasia ya Congo
Watu 6 waripotiwa kufariki katika ajali ya ndege iliotokea Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Taarifa zinafahamisha kuwa watu hao walofariki ni watalii kutoka Marekani ambao waliokuwa wakitalii mbuga za wanyama.
Ajali hiyo ilitokea Jumamosi majira ya mchana katika eneo la Wele, kijiji ambacho kinapatikana Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.