Breaking News: Watu 17 wameokolewa baada ya boti kuzama katika ziwa Victoria
byMuungwana Blog 2-
0
Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna waliosahaulika majini.
Hizi ni taarifa za awali fuatilia Habari zetu kufahamu zaidi.