Fahamu jinsi kinga za mwili zinavofanya kazi

Karibu sana mdau wa Muungwana blog, nikukaribishe kwa mara nyingine katika Makala hii ya leo, ambapo siku ya leo tutaangalia jinsi ambavyo kinga za mwili zinavyofanya kazi.

Kwanza kabisa   kinga za mwili ndiyo ulinzi wa miili yetu dhidi ya maambukizi ya magonjwa mbalimbali. Kinga hii hutengenezwa na mamilioni ya chembembe hai nyeupe ambazo hupambana dhidi ya maambukizi.

Ambapo virusi vya ukimwi hufanya kazi ya kuaribu chembechembe hizo ambapo kitalamu huita CD4-Tlymhocytes. Japo watu wengi hatuelewi ila ukweli ni kwamba miili yetu ipo makaini ili tusiugue

Mtu ambaye amefika hatua ya ugonjwa wa UKIMWI yupo katika hatari ya kupata maambukizi ambayo kwa mtu mwenye kinga nzuri ya afya yasingeweza kumletea magonjwa. Maambukizi haya hujulikana kama magonjwa nyemelezi.

Hayo ni machache kati ya mengi yanayohusu ufanyaji wa kazi wa kinga ya mwili,
Endele kutembelea Muungwana Blog kila wakati.
Mpya zaidi Nzee zaidi