leo ndio leo ligi ya mabingwa ulaya

Nyota wa Tottenham Hotspur, Waingereza Harry Kane na Dele Alli wakikimbia kwenye mazoezi ya timu yao jana kujiandaa na mechi ya kwanza ya hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus leo Uwanja wa Allianz mjini Torino. Nao FC Basel watakuwa wenyeji wa Manchester City Uwanja wa St. Jakob-Park mjiji Basel, mechi zote zikianza Saa 4:45 usiku
Mpya zaidi Nzee zaidi