Madiwani Chadema wajiunga CCM

Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha waliohama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia cha Maendeleo (Chadema) mmoja wa kata ya Daraja Mbili,  Prosper Msofe na Diwani wa kata ya Terrat,  Obeid Meng’oriki,   wamejiuzulu na kutangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile walichoeleza kuwa  ni kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia