VIDEO: Diamond, Hamisa Mobeto Uso Kwa Uso Mahakamani Leo
byMuungwana Blog 3-
0
Supastaa Diamond Platnumz leo amekutana mahakamani na mzazi mwenzake Hamisa Mobeto katika kesi ambayo Hamisa alimfungulia msanii huyo juu ya kumhudumia mtoto wao, katika shauri hilo wawili hao wamefikia muafaka wa kumlea mtoto wao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE