VIDEO: Makonda Aibua Sakata Jingine Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ametoa Onyo Kali kwa kampuni zinazofanya kazi ya kukamata Pikipiki (bodaboda) kwa mtindo wa kuvamia kitendo kinachohatarisha usalama wa Dereva na Abiria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi