Deportivo La Coruna yatoka droo na Las Palmas La Liga


Klabu ya Deportivo La Coruna imetoka sare ya goli 1 – 1 dhidi ya Las Palmas mchezo wa ligi ya nchini Hispania La Liga.

Wafungaji kwa upande wa Deportivo ni Albentosa dakika ya 22 wakati Halilovic akiifungia Las Palmas dakika ya tatu kipindi cha kwanza.
Wakati huko nchini Uingereza klabu ya  imetoka sare ya mabao 2 – 2 dhidi ya QPR mchezo wa derby ya London ya magharibi.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items