Wanawake nchini Saudi Arabia kwa mara ya kwanza katika historia wameshiriki mashindano ya kukimbia.
Kwa mujibu wa habari,mashindano hayo ya kilomita 3 yamefanyika mashariki mwa Al Ahsa.
"Al-Ahsa Runs" lilikuwa jina la marathon, ambalo lilihusisha wanawake 1,500 katika makundi mbalimbali kama vile kitaaluma, amateur, wazee na vijana.
Mkurugenzi Mkuu wa Michezo wa Saudi Arabia ,Hospitali ya Al-Moosa na hospitali ya manispaa ya al-Ahsa wamedhamini mashindano hayo.
Mizna al-Nassar wa Saudi Arabia alishinda medali ya kwanza katika marathon, akiwaacha nyuma wapinzani wake kutoka katika mataifa tofauti.