F Neymar kufanyiwa ultrasound | Muungwana BLOG

Neymar kufanyiwa ultrasound

Huu ni mguu wa nyota wa Brazil, Neymar ambaye ni majeruhi kwa sasa ukifanyiwa ultrasound jana. Mchezaji huyo wa Paris Saint-Germain yuko nje kwa miezi mitatu tangu mwanzoni mwa mwezi huu baada ya kuumia enka.